Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

As RomaChelseaEvertoneItaliaLoic RemylukakuMohammed Salah

Chelsea wathibitisha Mohammed Salah amehamia As Roma moja kwa moja

Klabu ya Chelsea leo wamethibitisha kua Winga machachali wa Misri amejiunga na As Roma ya Italia kwa uamisho wa moja kwa moja Salah aliichezea Roma kwa mkopo msimu uliopita hivyo sasa anakua mchezaji kamili wa As Roma.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib