Climb the mountains
Usiku wa kuamkia leo tumecheza na Ac Milan tukifanikiwa kushinda goli tatu kwa moja. Chelsea walikua wakwanza kujipatia goli kupitia Bertrand Traore dakika ya 24,Bonaventure aliisawazishia Ac Milan dakika ya 38, Kipindi cha pili Chelsea walifanikiwa kufunga magoli mawili kupitia kwa Oscar dakika ya 70 na 87,moja kati ya hilo akilifunga kwa mkwaju wa penati. Kiungo N'golo Kante aliingia dakika ya 52. Kikosi kitarudi Uingereza leo na jumapili wataelekea ujerumani kumalizia mechi za kirafiki dhidi ya Weder Bremen.
Tags: Chelsea vs Ac Milan
, Oscar
, Pre season
, Traore
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





No comments:
Post a Comment