Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaChelsea transfer newsChelsea transfer updateMaticTetesi za usajiliZaza

Juventus wanamtaka Matic kama mrithi wa Pogba wapo tayari kuwapa Chelsea fedha pamoja na Zaza.

Imeripotiwa klabu ya Juventus wanamsaka kiungo wa Chelsea Nemanja Matic kwa udi na uvumba ili akazibe pengo lililoachwa na Paul Pogba n awapo tayari kumuongeza mshambuliaji wao zaza katika dili hilo. Chelsea ambao wanafanya kila jitihada kupata mshambuliaji mpya mwingine wanaweza kuona ofa hiyo ina manufaa kwao.


No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib