Bila swali Cesc Fabregas ni moja ya wachezaji waliobarikiwa kipaji cha hali ya juu,uwezo wake wa kumiliki mpira na kupiga pasi ambazo daima huzaa matunda.
Ila swali kubwa wanalojiuliza mshabiki wa Chelsea ni.. Je Fabregas ataanza dhidi ya Arsenal au Conte atamwacha benchi? Wakati Chelsea wakijiandaa kucheza na mahasimu wao wa London mashabiki wote wanategemea matokeo mazuri, hivyo wangependa kuona wachezaji walio katika kiwango cha juu wanaanza mechi hiyo,kocha Conte amekua akimtumia Matic dhidi ya Fabregas licha ya Matic kuonyesha kua bado hajawa fiti msimu huu kwa mawazo na mtazamo wangu niniamini Fabregas anastahili kuanza dhidi ya Arsenal je nini mtazamo wako?
Climb the mountains
2015/2016ArsenalCesc FabregasChelseaLondon Derby
Baada ya kuonyesha mchezo mzuri dhidi ya Leicester
Tags: 2015/2016
, Arsenal
, Cesc Fabregas
, Chelsea
, London Derby
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment