Climb the mountains
Bristol CityChelseaChelsea loan playersChelsea wonderkidsFootball Manager 2016 wonderkidsTammy Abraham
Je Tammy Abraham atakua zao jipya la Chelsea baada ya John Terry? Mfahamu vizuri kinda huyo asiyechoka kufunga.
Kwa wale mashabiki wa Chelsea jina Tammy Abraham sio geni masikioni mwao tena bila shaka wamekua wakimsikia kwa habari nzuri kama kufunga magoli mengi kila misimu. Tammy ni kinda wa aliyejiunga na Chelsea akiwa na miaka 8 tuu na kuanza kukichezea kikosi cha Chelsea Under 8,baada ya hapo kila kilichofuata kwa Tammy Abraham kilikua ni mafanikio tuu kwani akiwa na miaka 17 tuu aliweza kukichezea kikosi cha vijana cha Chelsea yani under18 na kufanikiwa kushinda kombe la UEFA Youth League mara mbili mfululizo 2015 na 2016 na baada ya hapo akawaongoza wenzake kwenda kutwaa taji la FA la watoto . Tangu aanze kukichezea kikosi cha Chelsea cha watoto Tammy ameweza kufunga magoli 74 katika mechi 98.
Kwa sasa Tammy yupo kwa mkopo katika timu ya Bristol City na tayari anaongoza kwenye mbio za mfungaji bora akiwa na magoli 7 ya ligi, ukijumlisha mashindano yote yani Championship League,FA na EFL anakua amefikisha magoli 10 katika mechi 10.Swali kubwa tunalojiuliza mashabiki wa Chelsea ni.. Tammy Abraham atapata nafasi kikosi cha kwanza cha Chelsea?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment