Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaChelsea InjuryChelsea SquadConteHull City Vs ChelseaJohn TerryKikosi cha Chelsea

Baada ya kukosa mechi tatu kwa sababu ya majeraha ya ankel, John Terry atarudi uwanjani dhidi ya Hull City.



Baada ya klabu ya Chelsea kucheza mechi tatu bila beki wao wa kati na nahodha wao John Terry wameruhusu magoli saba,hata hivyo presha zinawashuka mashabiki wa miamba hao wa Uingereza baada ya kocha Antonio Conte kudhibitisha kua John Terry yupo fiti kuwakabili Hull City. Chelsea walikua wanasita kumuongezea Terry mkataba hali iliyofanya mpaka Terry yeye mwenyewe kuwaaga mashabiki wa Chelsea kitu kilichowapa simanzi mashabiki kwani ilikua tayari wameshawapoteza wakongwe wao kama Frank Lampard,Didier Drogba na Peter Cech,wakati Terry anarudi inasemekana kua Conte atarudi kwenye mfumo wake wa mabeki wa tatu nyuma huku akijaza viungo wengi zaidi kwa ajili ya mchezo wa kasi na umiliki wa mpira.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib