Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Antonio RudigerAs RomaChelseaGermany

Chelsea bado wanamfukizia beki wa Ujerumani,Man United na Man City nao waivizia sahihi yake.


Baada ya dau lao kutoswa na As Roma dirisha kubwa la usajili mwezi wa nane klabu ya Chelsea wamepanga kurudi na lingine la paundi milioni 35 ili kuwashawishi AS Roma kuwauzia mlinzi wa kimataifa Antonio Rudiger,kocha Antonio Conte amekua shabiki mkubwa wa mchezaji huyo na hivi sasa ameamua kurudi kwa mara ya pili kumjaribu kumsajili beki huyo mwenye miaka 23 tuu. Hata hivyo Chelsea wanategemea kupata ushindani kutoka kwa mahasimu wao Manchester United na City kwani wote wanamtaka beki huyo.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib