Climb the mountains
Bristol CityChelsea loan playersEFL player of the monthTammy Abraham
Kinda wa Chelsea achaguliwa mchezaji bora wa mwezi ligi daraja la kwanza.
Akiwa na magoli 11 katika mechi 17 chipukizi wa Chelsea anayechezea Bristol City kwa mkopoTammy Abraham amechaguliwa kua mchezaji bora wa mwezi wa tisa,kinda huyo mwenye miaka 19 tuu ameshaonyesha uwezo wa hali ya juu katika kupachika mabao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment