Climb the mountains
Antonio GriezmanFrance World Cup starhelseaManchester unitedpsgTransfer Newsusajili january
Nani atampata Antonio Griezman? Chelsea,Manchester United na PSG wote wanajiandaa kumsajili january.
Wakati mshambuliaji wa Atletico Madrid Griezman akiweka wazi kua uhamisho wowte mbeleni utakua mzuri kwake kuendeleza safari yake ya kisoka klabu ya Chelsea na Man United wameona huu ndo wakati muafaka wa kumsajili mshambuliaji huyo waliye jaribu kumnasa kwa kipindi kirefu,mshambuliaji huyo wa Ufaransa ana kipengele kinachoitaka timu inayotaka kumsajili kutoa si chini ya paundi milioni 85 ili mazungumzo mengine yaanze. Chelsea kwa sasa yupo tayari kutumia kiasi chochote cha pesa kuimarisha kikosi chake ili aweze kurudi kwenye ushindani kama awali.
Tags: Antonio Griezman
, France World Cup star
, helsea
, Manchester united
, psg
, Transfer News
, usajili january
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment