Climb the mountains
ChelseaMarina Granovskaianikenike dealTrevo EdwardsUsajili
Chelsea na Nike watangaza kuingia mkataba,Chelsea watakua klabu ya pili duniani kupokea fedha nyingi kutoka kwa mdhamini wa jezi.
Klabu ya Chelsea leo wametangaza kuingia mkataba wenye dhamani ya paundi milioni 60 na kampuni ya Nike,mkataba huo una maanisha kua Nike ndo watakua wakitengeneza Jezi zote za klabu ya Chelsea ikijumlisha kikosi cha kwanza,timu za watoto na timu ya wanawake. Akitangaza taarifa hiyo mkurugenzi wa Chelsea Marina Granovskaia alisema hii ni biashara nzuri kati yetu na kampuni ya Nike kwani Nike ni kampuni inayojulikana duniani kote kwa ubunifu wa hali ya juu katika kuttengeneza bidhaa zao duniani kote.Naye rais wa kampuni ya Nike Trevo Edwards alisema Chelsea ni klabu kubwa iliyopo katika level za kimataifa yenye utajiri mkubwa wa mashabiki.
Tags: Chelsea
, Marina Granovskaia
, nike
, nike deal
, Trevo Edwards
, Usajili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment