Climb the mountains
Ac MilanChelseaMitch BatshuayiMitchy Batshuayisan sirostamford bridge
AC Milan wanamfukuzia mchezaji wa Chelsea aliyecheza dakika 54 tuu tangu asajiliwe.
Klabu ya AC Milan yenye makazi yake San Siro nchini Italia wanafuatilia kwa karibu maisha ya mshambuliaji mpya wa Chelsea Mitch Batshuayi ambaye alisajiliwa na Chelsea miezi michache iliyopita baada ya kushindwa kupata namba mbele ya mshambuliaji Diego Costa. Batshuayi ameonyesha kufurahia maisha ndani ya Chelsea kwani amekua mchangamfu sana hasa kwenye mitandao ya kijamii.
Tags: Ac Milan
, Chelsea
, Mitch Batshuayi
, Mitchy Batshuayi
, san siro
, stamford bridge
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment