Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaWest HamWest ham vs Chelsea

Chelsea Vs West Ham; Chelsea yawataka mashabiki wake kujiepusha na vurugu.


Klabu ya Chelsea imewaomba mashabiki wake kujiepusha na vurugu wakati wa mechi dhidi ya west Ham. Kumekua na hofu ya usalama kati mechi za klabu kadhaa zinapokutana na West Ham kwani mechi ya mwisho ilishuhudia vurugu baina ya mashabiki wa timu hizo,hata hivyo polisi wa London wamesema mashabiki wote watakaguliwa kabla ya kuingia uwanjani na pia pombe hazitauzwa popote karibu ya uwanja.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib