Climb the mountains
Ac MilanCesc FabregasJuventusManchester CityPep Guardiola
Chelsea wanajianda kumtoa Cesc Fabregas kwa mkopo mwezi wa Kwanza,Kocha wake wa zamani aonyesha nia ya kumchukua tena.
Klabu ya Chelsea wanategemea kumtoa kiungo Cesc Fabregas kwa mkopo mwezi wa kwanza huku klabu mbali mbali barani ulaya zikionyesha nia ya kumsajili ila klabu ya Ac Milan wao wamekua mstari wa mbele katika hilo,klabu ya Chelsea imefikia uamuzi huo kuona nyota huyo analipwa kiasi kikubwa cha fedha hivyo hawezi kukaa au kutokea benchi,pia sababu nyingine iliyoisukuma bodi ya Chelsea ni baada ya kuona kocha Antonio Conte hamtumii katika kikosi chake,pamoja na Ac Milan pia klabu ya Manchester City wameonyesha nia ya kumsajili nyota huyo.
Tags: Ac Milan
, Cesc Fabregas
, Juventus
, Manchester City
, Pep Guardiola
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment