Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaKenedyWatford

Chelsea Kumrudisha Kenedy mwezi wa kwanza.


Kenedy alikua moja ya wachezaji wadogo wachache waliotabiliwa kufanya vyema msimu wa 2015/2016, kocha Jose Mourinho alionyesha kumuamini hasa baada ya kuonyesha kiwango kizuri wakati wa mechi za mazoezi mwanzo mwa msimu wa 2015/16, japo mambo yaligeuka nakua tofauti baada ya kocha Antonio Conte kuwasili Chelsea aliamua kumtoa kwa mkopo katika klabu ya Watford hata hivyo kutokana na majeraha aliyoyapata amecheza dakika 15 tuu akiwa na Watford na sasa Chelsea wanafikiria kumrudisha darajani mwezi wa kwanza ili ajinoe upya au wamtoe kwa mkopo kwenye klabu itayohitaji kumtumia,Kenedy anasifika kwa kua na mbio chenga za haraka na uwezo wake wa kufunga magoli,anaweza kucheza kama beki wa kushoto na winga wa kushoto na mara chache hucheza kama mshambuliaji hivyo kama akirudishwa Chelsea kuna uwezekano mkubwa wa kusaidia na Marco Alonso kwenye baadhi ya mechi.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib