Climb the mountains
Sergio Aguero
Sergio Aguero amtaja beki wa Chelsea kama beki mgumu katika mabeki wote aliowahi kukumbana nao.
Sergio Aguero amejijengea utamaduni wa kufunga magoli mengi kila msimu na hakika amekua tishio katika safu ya ufungaji magoli lakini mara nyingi pia hutegemea mabeki gani anakutana nao, Kun Aguero aliulizwa ni beki gani mgumu ambaye amewahi kukutana nae alisema siku hizi ni ngumu kuchagua ila mabeki wagumu kabisa niliwahi kukutana na ni John Terry,Sergio Ramos pia naweza kumtaja kipa Iker Casillas kua ni mgumu kufungika.
Tags: Sergio Aguero
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment