Climb the mountains
BrazilChelseaCoutinhoFernandinhoFirminoliverpoolManchester CityWillian
Chelsea,Manchester City na Liverpool wachanga fedha kukodi ndege moja ya kuwarudisha wachezaji wao kutoka Brazil
Klabu zote zinachuana vikali kwenye msimamo wa ligi kila klabu ikiwa na ndoto ya kuchukua ubingwa hivyo kila klabu kumuona mwenzake kama ni adui anayetaka kumkwamisha hivyo hana jinsi kushinda mechi ili adui huyo asimpate ila hii ni tofauti kwani maadui hao wa kwenye msimamo wa ligi sasa hivi wamefanya kitu cha kirafiki baada ya kuamua kuchanga fedha kwa pamoja ili kukodi ndege itakayo warudisha wachezaji wao walioitwa kuzitumikia timu zao za taifa ili waweze kufanya mazoezi na klabu zao kuelekea mechi za weekend, baada ya kila timu kukodi ndege ya kubeba mchezaji wake waliona ni bora wakikodi ndege moja kwa ajili ya wachezaji wao wanne David Luiz,Coutinho Fernandinho na Firmino.
Tags: Brazil
, Chelsea
, Coutinho
, Fernandinho
, Firmino
, liverpool
, Manchester City
, Willian
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment