Climb the mountains
ChelseaDiego Costa Contractmkataba mpya
Chelsea wanajiaanda kumpa Diego Costa mkataba mpya.
Klabu ya Chelsea yenye makazi yake jiji London nchini Uingereza wanajianda kumpa mkataba mpya kinara wao wa mabao Diego Costa ambaye amekua kwenye kiwango cha juu msimu huu. Chelsea wamefikia hatua hiyo ikiwa ni moja ya njia ya kuwazidi kete Atletico Madrid ambao wanaangaika kumrudisha mchezaji wao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment