Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Vote for ConteVote for Diego CostaVote for HazardVote For N'golo Kante

Je umeshawapigia kura Conte,Diego Costa,Eden Hazard na N'golo Kante? Wapigie hapa washinde tuzo za mwezi wa 10


Mwezi wa 10 ulikua mzuri kwa klabu ya Chelsea kwani hatujapoteza mechi hata moja na pia hatujaruhusu goli hata moja la kufungwa. Juhudi zetu zimezaa matunda na sasa kocha wetu na wachezaji wetu wamechaguliwa kuwania vipengele mbali mbali, Conte akiwania kocha bora wa mwezi ,Diego Costa,Eden Hazrd na N'golo Kante wakiania tuzo ya mchezaji bora wa mwezi na Diego Costa akiwania tuzo ya goli bora la mwezi. na hii ndo list kamili ya wanaochuana nao katika kila kipengele.


Kocha Bora wa Mwezi
Antonio Conte
Mark Hughes (Stoke City)
Jurgen Klopp (Liverpool)
Arsene Wenger (Arsenal)

Mchezaji Bora wa Mwezi.
Diego Costa
Eden Hazard
N’Golo Kante
Joe Allen (Stoke City)
Philippe Coutinho (Liverpool)
Ilkay Gundogan (Manchester City)
Tom Heaton (Burnley)

Goli bora la mwezi 
Diego Costa (Southampton v CHELSEA) 30 October
Dimitri Payet (WEST HAM UNITED v Middlesbrough) 1 October
Mesut Ozil (ARSENAL v Swansea City) 15 October
Jose Holebas (Middlesbrough v WATFORD) 16 October
Christian Fuchs (LEICESTER CITY v Crystal Palace) 22 October
Xherdan Shaqiri (Hull City v STOKE CITY) 22 October
Gaston Ramirez (MIDDLESBROUGH v AFC Bournemouth) 29 October
Sergio Aguero (West Bromwich Albion v MANCHESTER CITY) 29 October

Ni wakati wako kuwawezesha kushinda tuzo hizo piga kura hapa chini.




No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib