10.Chelsea - £300 mil.
Mchezaji aliyeuzwa wa Fedha nyingi-David Luis £50 mil kwenda PSG
Chelsea imeshika nafasi ya kumi kwa kuingiza fedha nyingi kwa mauzo ya wachezaji huku DAvid Luiz akiongoza kuuzwa kwa fedha nyingi,pia wachezaji kama Kevin De Bruyne na Juan Mata wamechangia kiasi kikubwa.
9.Real Madrid - £310 mil.
Mchezaji aliyeuzwa fedha nyingi Angel Di Maria kwenda Manchester United £60 mil
Madrid wanaingia katika listi kwa kuuza nyota wengi kwa hela kubwa ila Angel Di Maria ndie nyota aliyeiingiza Madrid hela nyingi alipouzwa kwenda Man United kwa ada ya £60 milioni kiasi kilichovunja rekodi ya usajili nchini Uingereza.
8.As Roma - £311 mil
Mchezaji aliyeuzwa fedha nyingi Erik Lamela £30 mil kwenda Tottenham
As Roma wamepata hela nyingi katika usajili kutokana na mauzo ya wachezaji wengi ila Erik Lamela akichangia kiasi kikubwa wakati alipouzwa kwenda Tottenham mwaka 2013
7.Tottenham - £313 mil
Mchezaji aliyeuzwa fedha nyingi Gareth Bale £86 mil kwenda Real Madrid.
Wakati Tottenham wakimuuza Gareth Bale walivunja rekodi ya ya dunia ya kumuuza mchezaji kwa bei ghari kabisa rekodi iliyokua ikishikiriwa na Cristiano Ronaldo,hata hivyo wachezaji kama Modric wamechangia kiasi kikubwa Tottenham kupata hela nyingi katika usajili.
6.Atletico Madrid £ 319 mil.
Mchezaji aliyeuzwa fedha nyingi Radamel Falcao £ 51 mil kwenda Monaco
Atletico wamekua mabingwa wakuuza washambuliaji wazuri tangu Diego Simeone wakiuza wachezaji kama Sergio Aguero,Falcao na Diego Costa
5.Porto £324 mil
Mchezaji aliyeuzwa fedha nyingi James Rodriguez £38.25 mil kwenda Monaco
4.Benefica £ 351 mil
Mchezaji aliyeuzwa fedha nyingi Renato Sanchez £30 mil kwenda BAyern Munich
3.Juventus £352 mil
Mchezaji aliyeizwa fedha nyingi Paul Pogba £89 mil kwenda Manchester United.
2.Valencia £360 mil
Mchezaji aliyeuzwa fedha nyingi Shodran Mustafi £34.9 mil kwenda Arsenal
1.Liverpool £382 mil
Mchezaji aliyeuzwa fedha nyingi Luis Suarez £75 mil kwenda Barcelona..
Na hii ni chati inayoonyesha klabu zote











No comments:
Post a Comment