Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaMarco VerrattiMikel Obipsg

Mikel Obi au Fabregas kuondoka kama Chelsea watamsajili kiungo huyu wa PSG mwezi wa kwanza.


Wakati Chelsea wakiwa kwenye fomu nzuri bado kocha Antonio Conte anataka kuimarisha kikosi Chake zaidi hasa safu ya kiungo na sasa ametupa ndoano yake katika klabu ya PSG yenye makazi yake jijini Paris nchini Ufaransa akijaribu kumsajili kiungo muitaliano Marco Verratti , kama akifanikiwa kumsajili kiungo huyo basi atamruhusu Mikel Obi kuondoka January au mwisho wa msimu mkataba wake utapomalizika.Na pia atamfungulia njia kiungo Cesc Fabregas kujiunga na klabu nyingine.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib