Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Diego CostaDiego simeoneMacedoniaSpain

Diego Costa akutana na Diego Simeone


Costa ametumia muda wa mapumziko ya ligi kukutana na bosi wake wa zamani kwa ajili ya Chakula cha jioni, kwa sasa Diego Costa yupo Hispania na kikosi cha timu ya taifa wakisubiri mchezo dhidi ya Macedonia

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib