Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Ceser AzpilicuetaChampions LeagueChelsea players night outEden HazardMitch BatshuayiThibautUEFA

Wachezaji wa Chelsea wautumia usiku wa mechi za mabingwa ulaya kula bata .


Kutokana na kutoshiriki mashindano ya ligi ya mabingwa ulaya msimu huu wachezaji wa Chelsea waliamua kutoka out na kwenda kula bata kama sehemu ya kuweka vizuri morali ya kikosi cha kwanza,Chelsea wamekua kwenye kiwango kizuri mwezi wa 10 wakiweza kushinda mechi zote nne bila kuruhusu goli lolote la kufungwa na hivyo kuifanya kua timu pekee ambayo haijaruhusu goli mwezi wa 10 katika ligi 5 bora barani ulaya.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib