Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaChinaGuangzhouJohn Terry

Klabu ya China yampa nyota wa wa Chelsea dau nono kujiunga nao.

Mkongwe wa Chelsea atapata kiasi kikubwa cha fedha kama atakubali ofa aliyopewa ili kujiunga na klabu ya Guangzhou msimu ujao,mkongwe huyo wa Chelsea mwenye miaka 35 ambaye tayari ni balozi wa klabu hiyo ya China anategemewa kuondoka mwisho wa msimu huu kwani aliongezewa mkataba wa mwaka moja tuu ambao unaisha mwisho wa msimu huu hata hivyo John Terry yeye mwenyewe hajasema chochote kama atajiunga na klabu hiyo ya China au atabaki Chelsea kwani nyota huyo ametokea kua kipenzi cha mashabiki wa Chelsea.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib