Nahodha wa Chelsea John Terry ameweka wazi kua walipoona klabu ambayo haishiriki ligi yoyote imeitoa klabu ya ligi kuu kuliwashtua na kuwapa tahadhari kabla ya mchezo dhidi ya Wolverhampton.Klabu ya Lincoln iliitoa klabu ya Burnley ambayo iliing'ang'ania klabu ya Chelsea katika mechi yao ya mwisho kwenye ligi na kulazimisha suluhu hata hivyo Burnley walishindwa kutamba mbele ya klabu hiyo ya daraja la chini kabisa na kukubali kichapo cha goli moja na kutolewa kwenye mashindano.
Climb the mountains
BurnleyChelseaFA CupJohn TerryLincolnWolverhampton
John Terry: Ushindi wa Lincoln dhidi ya Burnley ulitupa tahadhari kabla ya mechi.
Tags: Burnley
, Chelsea
, FA Cup
, John Terry
, Lincoln
, Wolverhampton
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment