Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

John TerryJose MourinhoLugha ya kirenoTerry learning Portuguese

John Terry anajifunza Kireno na mwalimu wake ni Jose Mourinho. Je hii ni ishara kua ataanza ukocha na klabu ya.....Soma zaidi..


Nahodha wa Chelsea John Terry anajiandaa na maisha baada ya kustaafu soka kama mchezaji kwani kwa sasa anasomea leseni ya ukocha ya UEFA B,A na Pro, pia ameanza kitu muhimu kwa kocha yoyote yule kujifunza lugha mbali mbali,nahodha wa Chelsea John Terry ameweka picha kwenye mtandao wa Instagram akionyesha anavyojifunza lugha ya Kireno iliyoonyesha akisoma maneno baadhi ya Kireno ambayo aliandikiwa na Jose Mourinho,John Terry kusoma lugha ya kireno imekua kama ishara huenda mkongwe huyo akaanzia maisha yake ya ukocha katika klabu moja wapo nchini Ureno wakati akisubiri nafasi kwenye klabu ya Chelsea. Terry amekua akitumia muda mwingi msimu huu kusomea vitu kuhusu ukocha na amekua akitoa vitu vingi kutoka kwa kocha Jose kitu kinachoashiria Terry anamkubali kocha huyo na pengine angependa kua kama yeye pindi atapofuzu ukocha

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib