Climb the mountains
ChelseaJose MourihnoManchester unitedManchester united want Cesc FabregasManchester United want Matic
Manchester United kujaribu tena kumsajili kiungo wa Chelsea baada ya kumkosa mara mbili.
Jose Mourinho anajulikana kua ni shabiki mkubwa sana wa Cesc Fabregas na sasa ameamua kutupa ndoano yake tena wakati wa dirisha kubwa la usajili mwezi wa nane ili kumsajiri kiungo huyo wa Chelsea llicha ya kua Cesc yeye mwenyewe kuweka wazi kua hana mpango wa kuondoka Chelsea hivi karibuni. Manchester United wakijaribu kimsajili kiungo huyo haitakua mara ya kwanza kwani wameshawahi kujaribu kuinasa saihihi yake akiwa Barcelona ila Chelsea wakawazidi ujanja na wamlijaribu pia kumsajili kutoka Chelsea ila Chelsea walikataa dau hilo na Cesc yeye mwenyewe alisema angependa kubaki Chelsea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment