Baada ya mechi za kimataifa kumalizika huku Hispania wakifanikiwa kumaliza kwa ushindi wa goli 2 kwa bila dhidi ya Ufaransa wachezaji wameanza kurejea katika klabu zao. Wachezaji wa Chelsea walioitwa kuichezea timu ya taifa ya Hispania Costa,Azpilicueta na Pedro waliamua kuondokea nchini Ufaransa na wakaongozana na mchezaji mwenzao wa Chelsea Kante kama inavyoonekana kwenye picha muda mfupi kabla hawajapanda ndege kurudi London.
Climb the mountains
Ceser AzpilicuetaChelseaCostaFranceN'golo KantePedroSpain
Baada ya mechi kati ya Ufaransa na Hispania kumalizika Costa,Azpilicueta na Pedro waamua kuondokea Ufaransa wakiongozana na Kante
Tags: Ceser Azpilicueta
, Chelsea
, Costa
, France
, N'golo Kante
, Pedro
, Spain
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment