Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Alexis SanchezAlexis Sanchez to ChelseaArsenalChelsea

Alexis Sanchez ndiye chaguo la kwanza kwa Conte pindi dirisha la usajili litapofunguliwa.


Wakati Arsenal wakikatisha mazungumzo ya mkataba mpya na mchezaji Alexis Sanchez kocha wa Chelsea amemfanya nyota huyo kama Chaguo lake la kwanza pindi dirisha la usajili litakapofunguliwa mwezi wa nane. Mkataba wa Sanchez unategemewa kuisha mwakani na mpaka sasa Sanchez hajaongeza mkataba mpya licha ya Arsenal kufanya nae mazungumzo mara kadhaa,tetesi zinasema Arsenal watamuuza nyota huyo kwa ada ya paundi milioni 50 na wanafikiria kumuuza nje ya Uingereza ili kukwepa kuwauzia mchezaji nyota mahasimu wao

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib