Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaConteEden Hazardreal madridRoman Abramovich

Conte amuomba Abramovich asimuuze Eden Hazard.


Taarifa za chini chini kutoka ndani ya klabu ya Chelsea zinasema kua kocha wa Chelsea Antonio Conte amemuomba mmiliki wa klabu hiyo tajiri Roman Abramovich asimuuze nyota wake Hazard kwenda klabu ya Real Madrid ambayo ipo tayari kuwalipa Chelsea kitita cha paundi milioni 100 ambacho kitavunja rekodi ya dunia. Habari zinasema kitu ambacho kitamchochea Conte kuongeza mkataba mpya na kubaki Chelsea ni kuona maombi yake yanasikilizwa inasemekana Conte hataki kulipwa mshahara mkubwa ili kuikataa Inter Milan na kubaki Chelsea ila anataka kuhakikishiwa kua kupewa kiasi kkubwa cha fedha kusajili wachezaji pamoja na klabu kuyaheshimu maamuzi yake.

1 comment:

  1. nami nitaungana na conte kumshauri ibramovic asithubutu kumuuza eden hazard kwani amekuwa msaada mkubwa katika timu ya chelsea,

    ReplyDelete

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib