Climb the mountains
AFC BournemouthChelseadar es salaamEden HazardEplMarcos Alonso
Chelsea wawapiga Bournemouth 3-1 wazidi kuusogelea ubingwa.
Klabu ya Chelsea ilipiga hatua moja mbele kuusogelea ubingwa wa Uingereza baada ya kufanikiwa kuwalaza Bournemouth goli 3 kwa 1 katika uwanja wao wa nyumbani na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 7 huku wakiwa wakiwa wamebakisha mechi 7 tuu. Magoli ya Chelsea yalifungwa na Eden Hazard pamoja na Marcos Alonso huku goli moja likiwa ni la kujifunga ,timu zote zilikua zikicheza mchezo wa kutafuta magoli hivyo zilikua zikishambuliana kwa zamu. Katika Mchezo wa jana Eden Hazard alifunga goli lake la 14 msimu huu.
Tags: AFC Bournemouth
, Chelsea
, dar es salaam
, Eden Hazard
, Epl
, Marcos Alonso
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment