Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]


Jana ulikua ni usiku ambao ulimaliza ubishani wa muda mrefu ambao kila moja alikua akimtaja mchezaji anayefaa kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2016/17 huku Eden Hazard N'golo Kante,Sanchez na Dele Alli wakitawala vinywa vya watu ila jana utatat ukamalizika baada mchezaji wa Chelsea N'golo Kante kuwapiku wachezaji wote aliokua akichuana nao akiwemo mchezaji anaye cheza nae Chelsea Eden Hazard. Tuzo hiyo kwa N'golo Kante haina upinzani kwani alichokifanya uwanjani kuanzia akiwa Leicester City mpaka Chelsea kila moja ameweza kukishuhudia kwa macho ni mchezaji anayejituma bila kuchoka..

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib