Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Hazard azungumzia uwezekano wa kushinda England player of the year na Ballon d' Or.


Akiongea na jarida la Chelsea wiki hii mchezaji nyota wa Chelsea Eden Hazard amesema kua "Nahitaji kushinda makombe ya kutosha kwanza kwasababu nikishinda makombe mengi na Chelsea itanisaidia pia kushinda PFA(Player of the year) hata Ballon d'Or pia ,nikiwaangalia Ronaldo na Messi huwa naona nahitaji kufunga magoli mengi zaidi ,kushinda vikombe binafsi sio mipango yangu nataka kucheza mpira mzuri, nikipata tuzo ni vizuri kwangu ila sio kitu ninachokipa kipaumbele"
Mpaka sasa Eden Hazard ameshafikisha magoli 17 idadi ya magoli aliyofunga msimu uliopita,zikiwa zimebakia mechi nane msimu huu


Speaking to Chelsea’s official email newsletter this week, Hazard shared his thoughts on what such an accolade would mean.
‘I want to win collective trophies first,’ he said.
‘I know if I win these with Chelsea then maybe I can get the PFA Player of the Year in England or the Ballon d’Or. But when I see Lionel Messi and Cristiano Ronaldo, I know I have to score more goals. These awards are not my objective, I just want to play; if I get the awards, it’s good for me, but it is not the first thing.’
The 24-year-old Belgian is well on course with his stated aim of scoring more goals. By netting in the last two games he has matched his 17 from last season with, if selected (and he has started every league game so far this campaign), another eight matches left to play.
‘We are confident as a team,’ Hazard told the newsletter.
‘We are first in the Premier League and we are just taking it game after game. We played beautiful football in our last match against Stoke, and we deserved to score three or four, but the most important thing was the victory. We just want to bring the trophy back to Stamford Bridge.’

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib