Licha ya Chelsea kuonyesha nia ya kumrudisha Lukaku darajani haijawazuia PSG matajiri wa Ufaransa kutaka kumsajili mpachika mabao huyo, Lukaku aliyekua mchezaji wa Chelsea amekua na kiwango kizuri tangu ajiunge na Everton bila shaka hiyo ndo siri ya vilabu vikubwa ulaya kutaka kumsajili.
Climb the mountains
ChelsealukakupsgTetesi za usajili
Tetesi za Usajili: PSG waingia katika mbio kusaka saini ya Lukaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment