Climb the mountains
Klabu ya Chelsea ipo tayari kutuma ofa ya £20 Millions ili kumsajili Winga wa Lazio Candreva, winga huyo ametajwa moja kati ya mawinga bora kabisa wanaocheza ligi ya Seria A sio ajabu kuona klabu ya Chelsea kumfukuzia mkali huyo, ujio wa Conte unatajwa kua utarahisisha winga huyo kutua darajani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment