Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Cesar Azpilicueta ni moja ya wachezaji wanaofukuziwa na Barcelona ili kuziba nafasi ya Dani Alves aliyejiunga na Juventus, beki wa kulia wa Arsenal Hector Bellirin ndio chaguo la kwanza la Barcelona na iwapo watashindwa basi watahamishia nguvu kwa Ceser Azpilicueta.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib