Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Kocha wa Italy Antonio Conte ambaye amekubali kuifundisha klabu ya Chelsea pindi atapomaliza majukumu yake na Italy katika mashindano ya EURO inasemekana anataka kumsajili  full back wa Manchester United Mateo Darmian pindi atapotua Chelsea Conte anayesifika kwa Kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza anaona Darmian ni moja ya wachezaji watao chochea timu ya Chelsea kufanya vizuri,Darmian alijiunga na Manchester United 2015 akitokea klabu ya Torino hana uhakika kama atakua kwenye mipango ya kocha mpya wa Chelsea Jose Mourihno na inasemekana yupo katika orodha ya wachezaji wataouzwa na United msimu huu.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib