Climb the mountains
Kocha mpya wa Chelsea Antonio Conte amesema Chelsea hawana haja ya kumuuza Oscar kwani yupo kwenye mipango yake kwenye kikosi atachokisuka kwa ajili ya msimu ujao. Klabu ya Juventus wamekua wakimfukuzia Oscra kwa miaka miwili hakika zitakua habari mbaya kwao, Oscar aliingia Stamford Bridge kwa kishindo ila alishindwa kufanya vizuri msimu wa 2015/2016 hivyo kuwepo kwenye orodha ya wachezaji ambao wangeuzwa na Chelsea kwenye dirisha la usajili msimu huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment