Klabu ya Chelsea imeanza kufanya jitihada za kuimarisha kikosi chake baada ya kua na msimu mbaya. Tetesi kutoka klabuni humo zinasema Chelsea wameweka paundi 80 million kuwasajili wachezaji Gonzalo Higuani wa Napoli na Radja wa As Roma, Chelsea wanafanya kila njia kuweza kupata mshambuliaji mwenye kiwango kizuri (World Class) ili kuweza kurudisha heshima iliyopotea Darajani
Climb the mountains
ChelseaEuro 2016football managerHiguaniTetesi za usajili
Chelsea yatenga £80 Million kuwasajili nyota wa Napoli na As Roma.
Tags: Chelsea
, Euro 2016
, football manager
, Higuani
, Tetesi za usajili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment