Climb the mountains
ArsenalBundelsilgaChelseaDortmund Borussia DortmundEuro 2016Football NewsHenrikh MkhitaryanlondonRumorsTanzaniaTransfer
Chelsea na Arsenal wagombania kumsajili mchezaji wa Borussia Dortmund
Klabu mbili hasimu zote zenye makazi yake jijini London zinatakua kwenye Derby nyingine ya kugombania kupata sahihi ya mchezaji Henrikh Mkhitaryan.Henrikh Mkhitaryan amekua na msimu mzuri kwa kufunga magoli 23 na kutoa pasi za magoli 32 katika mechi 52 alizocheza. KamaHenrikh Mkhitaryan ataondoka basi itakua pigo kubwa kwa Borussia Dortmund kwani wameshawauza nyota wao wawili kama Matt Hummles na Gundogan.
Tags: Arsenal
, Bundelsilga
, Chelsea
, Dortmund Borussia Dortmund
, Euro 2016
, Football News
, Henrikh Mkhitaryan
, london
, Rumors
, Tanzania
, Transfer
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment