Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Klabu  ya Chelsea inaongoza mbio za kumsajili mshambuliaji wa Juventus Alvaro Morata kwa kua ndo klabu pekee iliyoanza mazungumzo kwa ajili ya kukamilisha au kupata nafasi ya kumsajili, ingawa Klabu yake ya zamani Real Madrid ina kipaumbele cha kumnunua tena kutokana na mkataba walioingia na Juventus wakati wakiwauzia(Buy Back Clause) hata hivyo Real Madrid hawana mpango wa kumtumia katika kikosi chao, wamepanga kumuuza tena pindi watapo mnunua ili kutengeneza faida kubwa

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib