Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaJuventusKwadwo AsamoahTetesi za usajiliTransfer window

Chelsea wajianda kulipa paundi milioni 15 ili kumsajili beki wa Juventus.

Chelsea Transfer News: Latest on Kwadwo Asamoah Amid Cesar Azpilicueta RumoursInaripotiwa klabu ya Chelsea wako kwenye mchakato wa mwisho wa kutuma dau lao la paundi milioni 15 ili kumsajili beki wa kati wa Juventus Kwadwo Asamoah. Inasemekana beki huyo yuko tayari kujiunga na bosi wake wa zamani Antonio Conte, Asamoah anyesifika kwa kucheza namba nyingi uwanjani kama kiungo wa kati, beki wa kati,beki wa kushoto na winga wa kushoto, Asamoah atakua msaada mkubwa kwani anasifika kwa pasi zake,kupenda kupanda kufanya mashambulizi kitu kinachowasumbua mabeki wa timu pinzani mara kwa mara.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib