Climb the mountains
ChelseaDiego CostaFansfootball fansPedroTanzaniaUsajili
Pedro:Hatujui kama Diego Costa atakua na sisi msimu ujao
Winga wa Chelsea na Hispania amesema hata wao (wachezaji) hawajui kama Diego Costa atakua Chelsea msimu ujao, Klabu ya Atletico Madrid ambayo Diego Costa alikua akiichezea kabla hajajiunga na Chelsea wanataka kumrudisha tena Diego Hispania. Pedro alisema japo kua Costa hakua kwenye kiwango msimu huu bado kuondoka kwake kutaiumiza Chelsea katika safu ya ushambuliaji.
Tags: Chelsea
, Diego Costa
, Fans
, football fans
, Pedro
, Tanzania
, Usajili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment