Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaJose MourihnoManchester unitedNemanja matic

Matic anataka kumfuata Mourinho United.

Manchester United Transfer News: Latest on Nemanja Matic, Chelsea Exit RumoursInasemekana kiungo mkabaji wa Chelsea Nemanja Matic amemuambia kocha wa Chelsea Antonio Conte kwamba anaomba kuondoka, kutokana na Mourihno kuweka bayana kua Matic ni moja kati ya wachezaji anaowataka United inaamanisha Matic anamfuata Mourihno Manchester United, Matic amekua na msimu mbaya na amekua akipata namba kwa shida tangu Mourihno afukuzwe. Kwa sasa Chelsea imekua ikifanya mazungumzo na viungo wa kati mbali mbali ili kuimalisha safu ya kiungo msimu ujao. Matic alifanya vizuri aliporudi Chelsea kwa mara ya pili akitokea Benfica.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib