Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Klabu ya Chelsea na Manchester City wamewauliza Real Madrid kama kuna  uwezekano wa kuwauzia James Rodriguez,kiungo mchezeshaji huyo umuhimu wake umezidi kupungua Real Madrid kadri siku zinavyozidi kusogea Chelsea wanamatumaini ya kumsajili kutokana na Real Madrid kua na historia ya kuwauza wachezaji wake nyota kama Di Maria, Higuani na Mesut Ozil.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib