Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]


Klabu ya Real Madrid yenye makazi yake nchini Hispania wanaandaa dau la paundi milioni 35 pamoja na mchezaji Alvaro Morata ili kumsajili winga matata wa Chelsea Eden Hazard inafahamika kua kocha wa Real Madrid Zinadine Zidane ni shabiki mkubwa wa Hazard, Hazard amefanya vizuri tangu ajiunge na Chelsea amefanikiwa kuchukua tuzo wa mchezaji bora wa Mwaka 2015/2016 pamoja na kuiwezesha klabu ya Chelsea kushinda makombe kadhaa. Pia Madrid wapo tayari kuwatoa James Rodriguez pamoja na Alvaro Morata kwenda Chelsea iwapo watampata Eden Hazard bila dau la fedha kuhusishwa.


No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib