Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Klabu ya Chelsea leo wamethibitisha wachezaji watatu wa kikosi hicho wameondoka baada ya mikataba yao kuisha, wachezaji hao ni Radamel Falcao Alexander Pato na golikipa Amelia aliyesajiliwa kama golikipa wa akiba kipindi Thibaut alipoumia, Falcao alijiunga na Chelsea kwa mkopo akitokea Monaco alicheza mechi ya kwanza ligi kuu dhidi ya Swansea ila alishindwa kufanya vizuri kutokana na majeruhi ya mara kwa mara, Pato alijiunga kwa mkopo akitokea Corinthians alikaa benchi muda mrefu ikidaiwa hakua fiti kucheza ligi kuu ya Uingereza. Sisi kama mashabiki wa Chelsea tunasema asante kwa mchango wao na tunawatakia mafanikio huko waendako.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib