Climb the mountains
ChelseaChelsea players out on loanLoanNathanVitesse
Chelsea wathibitisha mbrazil huyu anatoka kwa mkopo.
Klabu ya Chelsea wamethibitisha kua mshambuliaji wao wa kati Nathan atarejea tena vitesse kwa mkopo msimu ujao hivyo Nathan hatarudi Chelsea kwenye mechi za kirafiki,mbrazil huyo amefanya vizuri tangu ajiunge na vitesse hivyo Chelsea wameamua kumpa muda zaidi ili ajiendeleze.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment