Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaConteradja nainggolanTanzaniaTransfer News

Kiungo anayesakwa na Chelsea akiri amekutana na Conte kwa mazungumzo ya usajili.

Kiungo wa As Roma anayefukuziwa kwa kazi na klabu ya Chelsea Radja Nainggolan amekiri amekutana na kocha mpya wa Chelsea Antonio Conte na kuongelea kuhusu usajili
"Nimekutana na Antonio Conte
najua alikua ananitaka wakati
yupo Juventus amenieleza ni
namna gani atanitumia katika
Kikosi cha Chelsea hakiaka bado
anataka kunisajili. Kwa mimi
naangalia zaidi siku za usoni
tutaona nini kitatokea "
Pia Mchezaji huyo aliongelea swala la wachezaji wa Chelsea anaocheza nao timu ya taifa ya ubeligiji Eden Hazard na Thibaut Courtouis kumshawishi kujiunga nao Chelsea.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib