Climb the mountains
Alvaro MorataChelseareal madrid
Madrid wamsajili Morata. Wanapanga kumuuza tena kwa £60 milioni
Klabu ya Real Madrid imekamilisha usajili wa forward wao wa zamani Alvaro Morata kutoka Juventus kwa £ 24 milioni,Madrid walimuuza Morata Juventus lakini waliweka kipengele kwenye mkataba kinachowapa kipaumbele cha kwanza kumnunua hata hivyo Madrid tayari wamemuweka Morata sokoni na watamuuza £ 60 milioni ili kutengeneza faida tetesi zinasema Arsenal wamejitoa kwenye mbio za kumsajili hivyo kuwaacha Chelsea na Manchester United pekee.
Tags: Alvaro Morata
, Chelsea
, real madrid
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment