Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Fowadi wa Chelsea ameiomba klabu hiyo imruhusu kuondoka kurudi timu yake ya zamani ya Atletico Madrid. Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone aliweka wazi kwamba anataka kumrudisha Costa katika kikosi chake na alisema hatabaki klabuni hapo kama uongozi hautamrudisha Costa Vicente Callejon, Chelsea ambao kwa sasa wanafanya usajili kuimarisha kikosi chao hasa safu ya ushambuliaji na kiungo. Imeelezwa Atletico wako tayari kutoa paundi milioni 40 ili kumsajili fowadi wao wa zamani.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib